Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai;
Uria, Mhiti; Zabadi, mwana wa Ahlai;
Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai,
na Uria, Mhiti; idadi yao ilikuwa watu thelathini na saba.
Ira Mwithri, Garebu Mwithri;
Adina mwana wa Shiza Mreubeni, mkuu wa Wareubeni, na thelathini pamoja naye;
Na Atai akamzaa Nathani; na Nathani akamzaa Zabadi;