Wakaziweka silaha zake nyumbani mwa miungu yao, wakakitundika kichwa chake nyumbani mwa Dagoni.
1 Mambo ya Nyakati 10:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na watu wote wa Yabesh-gileadi waliposikia hayo yote Wafilisti waliyomtenda Sauli, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini watu wa Yabesh-gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Shauli, Biblia Habari Njema - BHND Lakini watu wa Yabesh-gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Shauli, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini watu wa Yabesh-gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Shauli, Neno: Bibilia Takatifu Wakazi wote wa Yabesh-Gileadi waliposikia yale Wafilisti waliyomtendea Sauli, Neno: Maandiko Matakatifu Wakazi wote wa Yabeshi-Gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Sauli, BIBLIA KISWAHILI Na watu wote wa Yabesh-gileadi waliposikia hayo yote Wafilisti waliyomtenda Sauli, |
Wakaziweka silaha zake nyumbani mwa miungu yao, wakakitundika kichwa chake nyumbani mwa Dagoni.
wakainuka mashujaa wote, wakautwaa mwili wake Sauli, na miili ya wanawe, wakaileta Yabeshi, wakaizika mifupa yao chini ya mwaloni huko Yabeshi, nao wakafunga muda wa siku saba.
Basi wakasema, Ni ipi katika makabila ya Israeli ambayo haikufika mbele ya Bwana huko Mispa.