1 Mambo ya Nyakati 1:49 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Shauli akafa, naye Baal-Hanani, mwana wa Akbori, akatawala badala yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shauli alipofariki, Baal-hanani mwana wa Akbori alitawala badala yake. Biblia Habari Njema - BHND Shauli alipofariki, Baal-hanani mwana wa Akbori alitawala badala yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shauli alipofariki, Baal-hanani mwana wa Akbori alitawala badala yake. Neno: Bibilia Takatifu Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. Neno: Maandiko Matakatifu Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. BIBLIA KISWAHILI Shauli akafa, naye Baal-Hanani, mwana wa Akbori, akatawala badala yake. |
Baal-Hanani akafa, naye Hadadi akatawala badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.