1 Mambo ya Nyakati 1:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na Abrahamu naye akamzaa Isaka. Wana wa Isaka; Esau, na Israeli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Isaka, mwana wa Abrahamu, alikuwa na wana wawili: Esau na Israeli. Biblia Habari Njema - BHND Isaka, mwana wa Abrahamu, alikuwa na wana wawili: Esau na Israeli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Isaka, mwana wa Abrahamu, alikuwa na wana wawili: Esau na Israeli. Neno: Bibilia Takatifu Ibrahimu alikuwa baba wa Isaka. Wana wa Isaka walikuwa: Esau na Israeli. Neno: Maandiko Matakatifu Ibrahimu alikuwa baba wa Isaka. Wana wa Isaka walikuwa: Esau na Israeli. BIBLIA KISWAHILI Na Abrahamu naye akamzaa Isaka. Wana wa Isaka; Esau, na Israeli. |
Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko.
Na wana wa Midiani; Efa, na Eferi, na Hanoki, na Abida, na Eldaa. Hao wote ndio wana wa Ketura.
Akampa agano la tohara; basi Abrahamu akamzaa Isaka, akamtahiri siku ya nane. Isaka akamzaa Yakobo. Yakobo akawazaa wale kumi na wawili, wazee wetu.