1 Mambo ya Nyakati 1:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na Henoko, na Methusela, na Lameki; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yaredi akamzaa Henoki, Henoki akamzaa Methusela. Methusela alimzaa Lameki, Biblia Habari Njema - BHND Yaredi akamzaa Henoki, Henoki akamzaa Methusela. Methusela alimzaa Lameki, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yaredi akamzaa Henoki, Henoki akamzaa Methusela. Methusela alimzaa Lameki, Neno: Bibilia Takatifu Idrisi, Methusela, Lameki, Nuhu. Neno: Maandiko Matakatifu Idrisi, Methusela, Lameki, Nuhu. BIBLIA KISWAHILI na Henoko, na Methusela, na Lameki; |
Kwa imani Henoko alihamishwa, asije akaona mauti, wala hakuonekana, kwa sababu Mungu alimhamisha; maana kabla ya kuhamishwa alikuwa ameshuhudiwa kwamba amempendeza Mungu.
Na Henoko, mtu wa kizazi cha saba toka kwa Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana yuaja na watakatifu wake, maelfu kwa maelfu,