1 Mambo ya Nyakati 1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na Mhivi, na Mwarki, na Msini; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wahivi, Waarki, Wasini, Biblia Habari Njema - BHND Wahivi, Waarki, Wasini, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wahivi, Waarki, Wasini, Neno: Bibilia Takatifu Wahivi, Waarki, Wasini, Neno: Maandiko Matakatifu Wahivi, Waariki, Wasini, BIBLIA KISWAHILI na Mhivi, na Mwarki, na Msini; |
Kwa habari ya watu wote waliosalia, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi, wasiokuwa wa wana wa Israeli;
Itakuwa hapo BWANA atakapowaleta mpaka nchi ya Wakanaani, na Wahiti, na Waamori, na Wahivi, na Wayebusi, nchi hiyo aliyowaapia baba zako kwamba atakupa wewe, ni nchi imiminikayo maziwa na asali, ndipo mtakapoushika utumishi huu katika mwezi huu.
Nami nimesema, Nitawapandisha kutoka katika mateso ya Misri na kuwaingiza katika nchi ya Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, nchi ijaayo maziwa na asali.
nami nimeshuka ili niwaokoe kutoka kwa mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hadi nchi njema, kisha pana; nchi itiririkayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.