1 Mambo ya Nyakati 1:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na Wapathrusi, na Wakasluhi; huko ndiko walikotoka Wafilisti, na Wakaftori. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wapathrusi Wakaftori na Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti). Biblia Habari Njema - BHND Wapathrusi Wakaftori na Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti). Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wapathrusi Wakaftori na Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti). Neno: Bibilia Takatifu Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti) na Wakaftori. Neno: Maandiko Matakatifu Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti) na Wakaftori. BIBLIA KISWAHILI na Wapathrusi, na Wakasluhi; huko ndiko walikotoka Wafilisti, na Wakaftori. |
kwa sababu ya siku ijayo kuwaangamiza Wafilisti wote, kukatilia mbali kila msaidizi wa Tiro na Sidoni asaliaye; maana BWANA atawaharibu Wafilisti, mabaki ya kisiwa cha Kaftori.
Je! Ninyi si kama wana wa Wakushi kwangu mimi, enyi wana wa Israeli, asema BWANA? Je! Mimi sikuwapandisha Israeli toka nchi ya Misri, na Wafilisti toka Kaftori, na Washami toka Kiri?
na Waavi waliokuwa wakikaa katika vijiji mpaka Gaza waliangamizwa na Wakaftori waliotoka Kaftori, na hawa wakakaa badala yao.)