1 Mambo ya Nyakati 1:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kushi naye akamzaa Nimrodi; yeye akaanza kuwa mtu hodari katika nchi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kushi alimzaa Nimrodi, aliyekuwa mtu shujaa wa kwanza duniani. Biblia Habari Njema - BHND Kushi alimzaa Nimrodi, aliyekuwa mtu shujaa wa kwanza duniani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kushi alimzaa Nimrodi, aliyekuwa mtu shujaa wa kwanza duniani. Neno: Bibilia Takatifu Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua shujaa mwenye nguvu duniani. Neno: Maandiko Matakatifu Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi. BIBLIA KISWAHILI Kushi naye akamzaa Nimrodi; yeye akaanza kuwa mtu hodari katika nchi. |
Na wana wa Kushi; Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama; Sheba, na Dedani.
Nao wataiharibu nchi ya Ashuru kwa upanga, na nchi ya Nimrodi katika malango yake; naye atatuokoa na Mwashuri, atakapoingia katika nchi yetu, na kukanyaga ndani ya mipaka yetu.