Mathayo 20:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921 Yesu akawahurumia, akawagusa macho yao; marra macho yao yakapata kuona, wakamfuata. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yesu akawaonea huruma, akawagusa macho yao, na papo hapo wakaweza kuona, wakamfuata. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yesu akawaonea huruma, akawagusa macho yao, na papo hapo wakaweza kuona, wakamfuata. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yesu akawaonea huruma, akawagusa macho yao, na papo hapo wakaweza kuona, wakamfuata. Neno: Bibilia Takatifu Isa akawahurumia na kuwagusa macho yao. Mara macho yao yakapata kuona, nao wakamfuata. Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawahurumia na kuwagusa macho yao. Mara macho yao yakapata kuona, nao wakamfuata. BIBLIA KISWAHILI Yesu akawahurumia, akawagusa macho yao; mara wakapata kuona, wakamfuata. |
Yesu akawaita wanafunzi wake, akasema, Nawahurumia makutano, kwa kuwa yapata siku tatu wamekaa pamoja nami, hawana kitu cha kula: na kuwaaga wakifunga sitaki, wasije wakazimia njiani.
HATTA walipokaribia Yerusalemi, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu akatuma wanafunzi wawili,
Na alipowaona makutano, akawahurumia, kwa maana walikuwa wamechoka na kutawanyika kama kondoo wasio na mchunga.
Akamtenga na makutano kwa faragha, akatia vidole vyake masikioni mwake, akatema mate, akamgusa nlimi,
Marra akapata kuona, akamfuata, akimtukuza Mungu; na watu wote walipoona wakampa Mungu sifa.
uwafumhue macho yao, waiache giza na kuielekea nuru, na waziache nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu, na wapate masamaha ya dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu.
Kwa hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, illi afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.
Neno la mwisbo ni hili; mwe na nia moja, wahurumianao, wenye kupendana kama ndugu, wasikitikivu, wanyenyekevu;