Luka 1:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921 Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili; kwa maana simjui mume? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?” Biblia Habari Njema - BHND Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?” Neno: Bibilia Takatifu Mariamu akamuuliza huyo malaika, “Maadamu mimi ni bikira, jambo hili litawezekanaje?” Neno: Maandiko Matakatifu Mariamu akamuuliza huyo malaika, “Maadamu mimi ni bikira, jambo hili litawezekanaje?” BIBLIA KISWAHILI Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume? |
Malaika akajibu, akamwambia, Roho Mtakatifu atakujia, na nguvu zake Aliye juu zitakutilia kivuli: kwa biyo kitakachozaliwa kitakwitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.