Nanyi, killa msimamapo na kusali, sameheni, kama mkiwa na neno juu ya mtu: illi Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu.
Filemoni 1:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921 niliyemtuma kwako, nawe umkubali, maana ni moyo wangu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sasa namrudisha kwako, naye ni kama moyo wangu mimi mwenyewe. Biblia Habari Njema - BHND Sasa namrudisha kwako, naye ni kama moyo wangu mimi mwenyewe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sasa namrudisha kwako, naye ni kama moyo wangu mimi mwenyewe. Neno: Bibilia Takatifu Namtuma kwako, yeye aliye moyo wangu hasa. Neno: Maandiko Matakatifu Namtuma kwako, yeye aliye moyo wangu hasa. BIBLIA KISWAHILI niliyemtuma kwako, yeye mwenyewe, maana ni moyo wangu hasa; |
Nanyi, killa msimamapo na kusali, sameheni, kama mkiwa na neno juu ya mtu: illi Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu.
Akaondoka, akaenda kwa baba yake. Alipokuwa angali mbali, baba yake akamwona, akamhurumia, akapiga mbio, akamwangukia shingoni, akambusu sana.
tena mwe wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, mkiachiliana, kama na Mungu katika Kristo alivyowaachilia ninyi.
ambae mimi nalimtaka akae nami, apate kunikhudumia hadala yako katika mafungo ya Injili;