Nao waliposikia wakafurahi, wakaahidi kumpa fedha. Akatafuta njia ya kumsaliti wakati wa kufaa.
2 Wathesalonike 2:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921 illi wahukumiwe wote wasioamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, bali wanafurahia dhambi, watahukumiwa. Biblia Habari Njema - BHND Matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, bali wanafurahia dhambi, watahukumiwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, bali wanafurahia dhambi, watahukumiwa. Neno: Bibilia Takatifu na hivyo wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu. Neno: Maandiko Matakatifu na wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu. BIBLIA KISWAHILI ili wahukumiwe wote ambao hawakuiamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu. |
Nao waliposikia wakafurahi, wakaahidi kumpa fedha. Akatafuta njia ya kumsaliti wakati wa kufaa.
Amwaminiye Mwana ana uzima wa milele; na asiyemtii Mwana hataona uzima, hali ghadhabu ya Mungu inamkalia.
ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao haya wamestahili mauti, wanafanya haya, wala si hivyotu, bali wakubaliana nao wayatendao.
Kwa kuwa Mungu hakutuweka kwa hasira vake bali tupate wokofu, kwa Bwana wetu Yesu Kristo,
na katika madanganya yote ya udhalimu kwao wanaopotea: kwa sababu hawakukubali kuipenda kweli, wapate kuokolewa.
Na katika kutamani watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa: hukumu yao tangu zamani haikawii, wala upotevu wao hausinzii.
Mpenzi, usiuige ubaya, bali wema. Yeye atendae mema ni wa Mungu, bali yeye atendae mabaya hakumwona Mungu.