Zaburi 117 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Swahili Revised Union Version - SRUVDC Zaburi 117Mwito wa wote kuabudu1 Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote, mhimidini. 2 Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa BWANA ni wa milele. |