9 Wakati uleule, malkia Vashiti naye akawaandalia wanawake karamu ndani ya nyumba ya kifalme ya Ahasuero.