7 Akarya mizabibu yangu na kubananga mitini yangu. Akaiguguna hadi magopha na pandaze akaziricha wekee.