20 wa kichuku cha Salu, ni Kalai; wa kichuku cha Amoku, ni Eberi;
wa kichuku cha Joiaribu, ni Matenai; wa kichuku cha Jedaia, ni Uzi;
wa kichuku cha Hilkia, ni Hashabia; wa kichuku cha Jedaia, ni Nethaneli.