18 wa kichuku cha Bilga, ni Shamua; wa kichuku cha Shemaia ni Jehonathani;
Maazia, Bilga, na Shemaia.
wa kichuku cha Abija, ni Zikri; wa kichuku cha Miniamini, na cha Moadia, ni Piltai;
wa kichuku cha Joiaribu, ni Matenai; wa kichuku cha Jedaia, ni Uzi;