15 wa kichuku cha Harimu, ni Adna; wa kichuku cha Meremothi ni Helkai;
ya kadadu, ikamghuya Harimu; ya kana ikamghuya Seorimu;
wa kichuku cha Maluki, ni Jonathani; wa kichuku cha Shekani, ni Josefu;
wa kichuku cha Ido, ni Zekaria; wa kichuku cha Ginethoni, ni Meshulamu;