14 wa kichuku cha Maluki, ni Jonathani; wa kichuku cha Shekani, ni Josefu;
Hatushi, Shebania, Maluki,
wa kichuku cha Ezra, ni Meshulamu; wa kichuku cha Amaria, ni Jehohanani;
wa kichuku cha Harimu, ni Adna; wa kichuku cha Meremothi ni Helkai;