na vololonyi ya Jordani iko na mizi ya Beth-haramu, Beth-nimra, Sukothi na Safoni, nako ni kutua kwa wuzuri ghwa Sihoni mzuri wa Heshboni. Mpaka ghwawo ghwa magharibi ghorekoghe Moda ghwa Jordani hata kuvikia cha kaskazinyi kutua kwa Ndiwa ya Galilaya.