Niko Mkohani M'baa Hilkia, na Ahikamu, na Akbori, na Shafani na Asaia, wikaghenda kwa mlodi wa waka Hulda mka wa Shalumu mwana wa Tikva, wawae Harhasi mlindiri wa kabati ya nguwo, (orekoghe ukikaia Jerusalemu, mtaa ghwa kawi); wikaja malagho nao.
Barua iyo nereidumieghe kwa mkonu ghwa Elasa mwana wa Shafani na Gemaria mwana wa Hilkia, awo weredumiloghe ni Zedekia mzuri wa Juda, kwa Nebukadnezari mzuri wa Babuloni. Nayo ereghorieghe huwu:
ukasea cha ngomenyi ya mzuri na kungia chumbenyi cha muandiki; na wabaa wose werekoghe kidombo aho. Nawo ni muandiki Elishama, Delaia mwana wa Shemaia, Elnathani mwana wa Akbori, Gemaria mwana wa Shafani, Zedekia mwana wa Hanania, na wabaa wose.
wikaduma na kunireda kufuma waza ya walindiri; wikaniwika mikonunyi kwa Gedalia mwana wa Ahikamu, wawae Shafani, eri upate kunighalisha. Kwa huwo ini Jeremia ngakaia aghadi ya wandu.