Zefania 3:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Yawe anasema: Nimeyateketeza kabisa mataifa; kuta zao za kujikinga ni mabomoko. Barabara zao nimeziharibu, na hakuna anayepita ndani yake. Miji yao imekuwa mitupu, bila watu, na bila wakaaji. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |