Zefania 3:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Yawe, Mungu wako, yuko pamoja nawe. Yeye ni shujaa anayekuletea ushindi. Yeye atakufurahia kwa furaha kubwa. Kwa upendo wake atakujalia uzima mupya. Atakufurahia kwa wimbo wa sauti kubwa, အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |