Zefania 2:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Makundi ya nyama wa kufugwa watalala ndani yake, vilevile kila nyama wa pori. Tai, nyangenyange na korongo wataishi juu ya nguzo zake, bundi watalia kwenye madirisha yake, vibombobombo watalia kwenye vizingiti, maana nyumba zake za mierezi zitakuwa tupu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |