Zefania 1:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Nitawaangamiza wote wanaoinama juu ya dari, wakiabudu jeshi la mbinguni. Nitawaangamiza wale wanaoniabudu na kuapa kwa jina langu, tena wanaapa vilevile kwa jina la mungu Milkomu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |