ZAKARIA 10:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Yawe anasema hivi: Nimewaka hasira juu ya hao wachungaji, nami nitawaazibu hao watawala. Mimi Yawe wa majeshi, nitalitunza kundi langu, ukoo wa Yuda. Nitawafanya kuwa farasi wangu hodari wa vita. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |