Yuda 1:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200216 Watu hawa wanaendelea kunungunika na kuteta wengine. Wanaishi kufuatana na tamaa zao mbaya. Wanasema maneno ya majivuno na kujipendekeza kwa watu kusudi wapate faida toka kwao. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |