Yuda 1:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Kufika kwao kunaleta machafuko katika karamu zenu za upendo. Wanakula na kushiba pamoja nanyi pasipo haya yoyote. Wao ni kama mawingu yanayopeperushwa na upepo pasipo kuleta mvua. Wao ni kama miti isiyozaa matunda hata wakati wa mavuno; ni miti iliyoongolewa na kufa kabisa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |