Yoshua 9:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200218 Lakini Waisraeli hawakuwaua, maana viongozi wa Waisraeli walikuwa wamewaapia kwa jina la Yawe, Mungu wa Israeli. Hivyo basi, Waisraeli wote wakawanungunikia viongozi wao. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |