Yoshua 7:26 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200226 Halafu wakalundika mawe mengi juu yake, ambayo yako mpaka leo. Hapo hasira ya Yawe ikapoa; na pahali pale pakaitwa Bonde la Akori, ni kusema Bonde la Taabu, mpaka hivi leo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |