Yoshua 7:25 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200225 Yoshua akamwuliza Akana: “Kwa nini umetuletea taabu? Yawe atakuletea taabu wewe mwenyewe leo.” Waisraeli wote wakamupiga Akana kwa mawe mpaka akakufa. Kisha wakawapiga jamaa yake yote kwa mawe mpaka wakakufa, wakawateketeza wote kwa moto. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |