Yoshua 7:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
17 Akazileta karibu ukoo za Yuda, ukoo kwa ukoo; na ukoo wa Zera ukachaguliwa. Akazileta karibu jamaa za ukoo wa Zera, jamaa kwa jamaa; na jamaa ya Zabedi ikachaguliwa.
Yoshua akaileta jamaa ya Zabedi karibu, nyumba kwa nyumba; na nyumba ya Akana mwana wa Karmi, mujukuu wa Zabedi mwana wa Zera, wa kabila la Yuda, ikachaguliwa.