Yoshua 7:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Waisraeli wametenda zambi, maana wamelivunja agano langu nililowaamuru washike. Wametwaa vimoja kati ya vitu vilivyotolewa viangamizwe. Wameviiba na kudanganya, wakaviweka pamoja na vitu vyao. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |