Yoshua 6:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Kulingana na amri ya Yoshua, wale makuhani saba waliokuwa na mabaragumu saba ya kondoo dume wakaenda mbele ya Yawe, wakiwa wanapiga mabaragumu, nyuma yao wakifuatwa na lile Sanduku la Agano. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |