Yoshua 4:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Yoshua akasimika vilevile mawe kumi na mawili katikati ya muto Yordani, pahali pale miguu ya makuhani waliobeba lile Sanduku la Agano iliposimama. Mawe hayo yako kule mpaka hivi leo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |