Yoshua 4:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Jambo hilo litakuwa kitambulisho kati yenu; na watoto wenu watakapowauliza kwa siku zinazokuja: ‘Mawe haya yana maana gani kwenu?’ အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
lakini tulitaka mazabahu hii ikuwe ushuhuda kati yetu na ninyi na vizazi vyetu vinavyokuja kwamba sisi tuna haki ya kumutumikia Yawe kwa sadaka zetu za kuteketezwa kwa moto na sadaka zetu zingine, na kwa sadaka zetu za amani, kusudi watoto wenu wasipate kuwaambia watoto wetu kwamba hawana fungu lolote lao kwa Yawe.