Yoshua 24:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200232 Mifupa ya Yosefu ambayo Waisraeli walikuwa wameileta kutoka Misri waliizika kule Sekemu katika eneo ambalo Yakobo alikuwa amelinunua kutoka kwa wana wa Hamori, baba ya Sekemu, kwa bei ya vikoroti mia moja vya feza. Eneo lile nalo likakuwa mali yao wazao wa Yosefu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |