Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Yoshua 24:28 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

28 Halafu Yoshua akawaruhusu watu waondoke; nao wakaenda kila mumoja kwake.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Yoshua 24:28
7 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Watu wengine wa Israeli, makuhani na Walawi walikaa katika miji ya Yuda, kila mumoja katika urizi wake.


kusudi urizi wa Waisraeli usihamishiwe kwa kabila lingine; kila Mwisraeli atabakia na urizi wa kabila lake.


Hivyo hakutakuwa urizi wowote utakaohamishwa kutoka kabila moja kwa lingine. Kila kabila la Waisraeli litashikilia urizi wake.


Basi, Yoshua akawabariki na kuwaruhusu waende zao akawaambia:


Halafu akawaambia watu wote: “Jiwe hili ndilo litakalokuwa ushuhuda kwetu, maana limesikia maneno yote ambayo Yawe ametuambia. Kwa hiyo, litashuhudia juu yenu, kusudi musipate kumwasi Mungu wenu.”


Nyuma ya mambo hayo, Yoshua mwana wa Nuni na mutumishi wa Yawe, akakufa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi.


Yoshua aliwatuma Waisraeli wote waende kwenye maeneo yao waliyogawanyiwa kwa kurizi inchi.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ