Yoshua 22:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200232 Basi, Finehasi mwana wa kuhani Eleazari pamoja na viongozi wenzake wakawaaga watu wa makabila ya Rubeni na Gadi wakaondoka katika inchi ya Gileadi, wakarudi Kanana kwa Waisraeli na kuwapa habari hizo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |