Yoshua 22:30 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200230 Kuhani Finehasi na wakubwa wa jamaa za Waisraeli waliokuwa pamoja naye waliposikia maneno hayo ya watu wa makabila ya Rubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase, wakafurahi. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |