Yoshua 22:26 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200226 Ndiyo maana tuliamua kujenga mazabahu hii, lakini si kwa ajili ya kutolea juu yake sadaka za kuteketezwa kwa moto wala sadaka zingine, အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
lakini tulitaka mazabahu hii ikuwe ushuhuda kati yetu na ninyi na vizazi vyetu vinavyokuja kwamba sisi tuna haki ya kumutumikia Yawe kwa sadaka zetu za kuteketezwa kwa moto na sadaka zetu zingine, na kwa sadaka zetu za amani, kusudi watoto wenu wasipate kuwaambia watoto wetu kwamba hawana fungu lolote lao kwa Yawe.