Yoshua 21:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Kura ya kwanza ilizipata jamaa za ukoo wa Kohati. Kati ya wazao wa kuhani Haruni walipewa kwa kura, miji iliyokuwa katika maeneo ya makabila ya Yuda, Simeoni, na Benjamina. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mitatu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |