37 Kedemoti pamoja na mbuga zake za malisho na Mefati pamoja na mbuga zake za malisho. Kwa jumla, miji mine.
“Basi, nikatuma watu kutoka jangwa la Kedemoti waende kwa mufalme Sihoni wa Hesiboni na ujumbe huu wa amani:
Yasa, Kedemoti, Mefati,
Katika eneo la kabila la Rubeni walipewa Bezeri pamoja na mbuga zake za malisho, Yahazi pamoja na mbuga zake za malisho,
Katika eneo la kabila la Gadi walipewa Ramoti wa Gileadi, muji wa kukimbilia usalama, pamoja na mbuga zake za malisho, Mahanaimu pamoja na mbuga zake za malisho,