Yoshua 21:34 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200234 Walawi wengine waliobaki, ni kusema wazao wa Merari, walipewa miji katika eneo la kabila la Zebuluni. Nayo ni Yokinamu pamoja na mbuga zake za malisho, Karta pamoja na mbuga zake za malisho, အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |