Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Yoshua 21:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

32 Katika eneo la kabila la Nafutali walipewa Kedesi, muji wa kukimbilia usalama unaokuwa kule Galilaya pamoja na mbuga zake za malisho, Hamoti-Dori pamoja na mbuga zake za malisho na Kartani pamoja na mbuga zake za malisho. Kwa jumla, miji mitatu.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Yoshua 21:32
8 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

mufalme wa Kedesi, mufalme wa Yokinamu muji unaokuwa kwenye mulima Karmeli,


Miji yao iliyokuwa na kuta ni: Zidimu, Zeri, Hamati, Rakati, Kinereti, Adama, Rama, Hazori, Kedesi, Edirei, Eni-Hazori, Ironi, Migdali-Eli, Horemu, Beti-Anati na Beti-Semesi. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na tisa pamoja na vijiji vyake.


Basi, kwa ajili hiyo wakaitenga miji ya Kedesi katika Galilaya kwenye milima ya Nafutali, Sekemu katika milima ya Efuraimu na Kiriati-Arba, ni kusema Hebroni, katika inchi ya milima ya Yuda.


Helkati pamoja na mbuga zake za malisho na Rehobu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni mine.


Jumla ya miji ya jamaa mbalimbali za ukoo wa Gersoni ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho.


Siku moja akamwita Baraka mwana wa Abinoamu wa Kedesi katika inchi ya Nafutali. Alipokuja akamwambia: “Yawe, Mungu wa Israeli, anakuamuru hivi: ‘Kwenda ukusanye watu wako kwenye mulima Tabori, uchague watu elfu kumi kutoka makabila ya Nafutali na Zebuluni.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ