31 Helkati pamoja na mbuga zake za malisho na Rehobu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni mine.
Eneo la inchi yao lilikuwa na miji ya: Helkati, Hali, Beteni, Akisafu,
Eburoni, Rehobu, Hamoni, Kana mpaka Sidona muji mukubwa.
Katika eneo la kabila la Aseri walipewa Misali pamoja na mbuga zake za malisho, Abudoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Katika eneo la kabila la Nafutali walipewa Kedesi, muji wa kukimbilia usalama unaokuwa kule Galilaya pamoja na mbuga zake za malisho, Hamoti-Dori pamoja na mbuga zake za malisho na Kartani pamoja na mbuga zake za malisho. Kwa jumla, miji mitatu.
Watu wa kabila la Aseri hawakuwafukuza wakaaji wa miji ya Ako, Sidona, Alabu, Akizibu, Helba, Afika na Rehobu.
Basi, wakaanza safari yao, na walikuwa wanatanguliwa na watoto wao na nyama wao na mali zao.