23 Katika eneo la kabila la Dani walipewa Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, Gibetoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Basha mwana wa Ahiya, wa kabila la Isakari, akamufanyia Nadabu shauri baya. Basi, wakati Nadabu na waaskari wake walipokuwa wakiushambulia muji wa Gibetoni wa Wafilistini, Basha akamwua,
Kibusaimu pamoja na mbuga zake za malisho na Beti-Horoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni mine.
Ayaloni pamoja na mbuga zake za malisho, na Gati-Rimoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni mine.