Yoshua 20:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Basi, kwa ajili hiyo wakaitenga miji ya Kedesi katika Galilaya kwenye milima ya Nafutali, Sekemu katika milima ya Efuraimu na Kiriati-Arba, ni kusema Hebroni, katika inchi ya milima ya Yuda. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |