31 Hiyo ndiyo sehemu zilizopewa ukoo za kabila la Aseri; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
“Inchi ya Aseri itatoa mavuno kwa wingi, naye atatoa chakula kinachofaa kwa mufalme.
Eneo linalofuatana na la Dani, kutoka mashariki mpaka magaribi litakuwa la Aseri.
Uma, Afeki na Rehobu. Jumla ya miji waliyopewa ni makumi mbili na mbili pamoja na vijiji vyake.
Kura ya sita ilizipata ukoo za kabila la Nafutali.