Yoshua 19:27 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200227 Kisha ukageuka kuelekea mashariki kwenda Beti-Dagoni ambako unagusana na Zebuluni na bonde la Ifitaheli. Halafu ukaendelea kaskazini ukafika Beti-Emeki, Neieli na kuzidi kuelekea kaskazini ukafika Kabuli, အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |